LITTLE BOY na FAT MAN ni majina ya mabomu yalotumika kulipua majiji ya Nagasaki na Hiroshima mwaka 1945. Ni mabomu mawili pekee ya atomiki kutumika vitani,kwenye vita vya pasifiki(pacific war) kipindi cha vita vipili vya dunia WW2. LITTLE BOY ni bomu la kwanza la atomiki lenye mlipuko wa nyuklia kutumika vitani lilikuwa na uzito wa kilo 4400 lilidondoshwa katika jiji la Hiroshima tarehe 6 August 1945 saa 2 asubuhi na ndege aina ya B-29 superfortress na kuua watu 66000 wakiwemo wanajeshi wa Japan zaidi ya 20000. FAT MAN ni bomu la pili la atomiki kutumika katika vita vya pili vya dunia lilikuwa na uzito wa kilo 4535. Lilidondoshwa Nagasaki tareh 9 August 1945 na kuua watu 40000 na wengine 80000 kupata madhara ya kiafya kipind kirefu kwa sababu ya mionzi ya mlipuko wa nyuklia. Marekani walishambulia haya majiji mawili sababu ndo yalikuwa na watu wengi na kambi za kijeshi .Marekani walitumia mabomu mawili kulipiza kisasi kwa Japan. Baada ya Japan kuvamia kambi ya kesho la majina la Marekani (peal of harbour) Honolulu Hawaii December 1941 na kuua wanajeshi 2335 na kuzamisha meli za kivita 4 kuharbu ndege 188. FAT MAN ni bomu la mwisho la atomiki lililosababisha Japan kusitisha vita tarehe 2 September 1945
Bonge la fact
ReplyDeleteOk
DeleteBleeeeeees in memory
ReplyDelete